Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Jeshi la Polisi Tanzania laimarisha ulinzi Dar es Salaam

Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha ulinzi na kuongeza doria katika maeneo mbalimbali ikiwamo vituo vya mwendokasi, maeneo ya makutano ya barabara, maeneo yenye misongamano ya watu kama kariakoo katika kile kinachotazamwa ni hatua ya kuzua maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Magari ya polisi pia yameonekana yakizunguka sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam na ripoti zinasema maafisa wa serikali wakiwa na askari wamekuwa wakifanya ukaguzi wa kushtukiza katika sehemu za kulala wageni.

Kuhusiana na mada hii: