Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mvua Yaezua Paa za Nyumba 16 Hanang

Nyumba 16 zimeezuliwa paa katika Kata ya Masakta, wilayani Hanang, mkoani Manyara, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali na kusababisha uharibifu wa mali katika kaya mbalimbali pamoja na Kanisa la FPCT.

 

 

Chanzo; Itv

Kuhusiana na mada hii: