Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri Ardhini (LATRA), imewafungia leseni Madereva 14 kwa makosa mbalimbali, ikiwemo Mwendokasi huku mmoja wa basi la abiria akikamatwa akiwa na ulevi wa hali ya juu katika Operesheni Maalum ya ukaguzi.
Chanzo; Itv