Dunia imeadhimisha siku ya pweza leo kwa kuangazia maazimio muhimu ya ulinzi wa viumbe hai wa bahari.
Makala hii inaangazia takwimu za upatikanaji wa viumbe hawa na mnyororo wa thamani kwa jamii kuimarisha uchumi na umuhimu wa kuainisha mpango wa maendeleo endelevu kwa ngazi za kijamii na kimataifa.
Wakati Ulimwengu ukirekodi kupoteza mamilioni ya viumbe wa bahari, mamlaka za usimamizi zimekuwa zikiibua mijadala kwenye ngazi za kijamii kulinda mazalia ya viumbe wa bahari kwa kuachana na uvuvi holela na matumizi ya kemikali.
Chanzo: Clouds Media