Kufuatia maelekezo yaliyotolewa tarehe Novemba 11,2023 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuendelea na shughuli za kila siku, Amri iliyokuwa imetolewa na Jeshi la Polisi kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ya kuwa majumbani kuanzia saa 12:00 Jioni imeondolewa rasmi.
Chanzo: Tanzania Journal