Wakati Imani za kishirikina zikiendelea kuleta madhra kwa jamii kama vile mauaji, baadhi ya wanasheria wamekuja mtazamo kwamba, ni wakati sasa serikali kuangalia namna ya kuweka sawa suala la uchawi ikiwemo kuangalia sheria yake na kuamua kuutambua kama upo.
Licha ya wito huo wa wanasheria na baadhi ya wananchi wameongea na KURASA wamesema suala hilo ni zito na kwamba sio rahisi kurasimisha uchawi kwani unaweza kuleta madhara Zaidi kwenye jamii lakini pia unaweza kutumika kama teknolojia nyingine.
Chanzo: Eatv