Taharuki imeibuka katika Ufukwe wa Bahari wa Coco jijini Dar es Salaam baada ya mafuta kuonekana kwa wingi kwenye maji ya bahari na mchanga wa ufukweni, huku ikiwa haifahamiki yametoka wapi na yamefikaje katika eneo hilo.
Global TV imefika eneo la tukio na kuzungumza na baadhi ya watu wanaofanya shughuli zao ufukweni, ambao wameeleza hali ilivyo.
Chanzo: Global Publishers