Kijana mmoja mwenye umri wa miaka kumi na tisa (19) Mwagala Sehemu Malando mkazi wa Kijiji cha Songambele Kata ya Uyowa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora amefariki dunia kwa kupigwa na radi usiku wa jana huku wenzake wawili wakijeruhiwa.
Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi wa Polisi Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Chanzo; Itv