Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametangaza rasmi kuondoa zuio la wananchi kuendelea na shughuli zao baada ya saa kumi na mbili jioni. Kadhalika amesema licha ya zuio hilo kuondolewa baa zitatakiwa kufungwa ifikapo saa nne usiku.
Amesema hayo leo na kubainisha kuwa sasa ni ruksa kwa wananchi kutembea na kufanya shughuli mbalimbali mpaka usiku.
Chanzo; Nipashe