Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Chalamila: Vijana msiharibu maisha kwa propaganda za siasa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka vijana wasiharibu maisha yao kwa siasa na propaganda za chuki, badala yake wajikite katika jitihada kwa kuwa ndio siri pekee ya mafanikio katika maisha yao.

Amesisitiza maisha si mepesi kama wengi wanavyodhani, ni magumu na hayako kwenye propaganda ya vinywa na maneno mengi, bali lazima upitie magumu ili ufanikiwe.

Chalamila ameeleza hayo leo, Jumamosi Mei 16, 2026 alipozungumza katika Kongamano la Vijana wa Vyuo Vikuu lililobeba ujumbe wa Never Again. 

"Pamoja na kupata elimu mnayoipata leo, mchawi wa kweli ni kujimudu kimaisha na namna pekee ya kujimudu kimaisha ni kuyatafsiri maisha kwa namna ya kipekee," amesema.

Ameambatanisha maneno yake hayo na nasaha kwa vijana kuwa, inasikitisha kuona vijana wanaonyesha chuki dhidi ya watu sio kwa sababu waliwakosea bali kwa kuwa wamepewa nafasi za uongozi serikalini.

Kuhusiana na mada hii: