Rais wa Marekani, Donald Trump amesema wawakilishi wa Marekani na Iran wanatarajiwa kukutana leo kwenye mji mkuu wa Qatar, Doha licha ya Tehran kukanusha kuwa hakuna mazungumzo yoyote yaliyopangwa na Washington kuhusu makubaliano yenye lengo la kuvimaliza vita vya Mashariki ya Kati.
Trump: Wajumbe wa Marekani na Iran kukutana leo Qatar