Kiongozi Mkuu wa Taifa la Korea Kaskazini Kim Jong UN, amesimamia na kushuhudia majaribio ya urushaji makombora ya kimkakati kutokea kwenye meli yake ya kivita majaribio ambayo yamekwenda sambamba na zoezi la ulengaji shabaha.
Chombo cha habari cha Serikali ya Korea Kaskazini kimesema makombora hayo ya kutoka baharini hadi ardhini yamerushwa jana March 04,2026 ikiwa ni sehemu ya kuonesha uwezo wa Nchi hiyo kujilinda kwenye maeneo yake ya Bahari.
Chanzo; Millard Ayo