Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Putin Amjibu Trump

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya nchi yake ni kitendo kisicho rafiki na vinaweza kusababisha kupanda kwa bei ya mafuta duniani.

Akizungumza na vyombo vya habari mjini Moscow, Putin amesema ingawa vikwazo hivyo ni vya “kiwango kikubwa”, lakini havitaathiri sana uchumi wa Urusi.

Aidha, ameonya kuwa mashambulizi yoyote ya Ukraine ndani ya ardhi ya Urusi kwa kutumia silaha za masafa marefu kutoka nchi za Magharibi yatakabiliwa na jibu kali na la kushangaza kutoka Moscow.

 

Chanzo: Dw

Kuhusiana na mada hii: