Jumamosi huko Mosop katika eneo la Nandi Hills ilitokea ajali iliyobabisha vifo vya watu sita akiwemo Mbunge wa Emurua Dikirr, Johana Ng’eno, zoezi la kutambua miili ya waliofariki limekamilika na miili hiyo kusafirishwa kwa ndege hadi Nairobi kwa matayarisho ya mazishi.
Chanzo; Itv