Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Marekani Yapungukiwa Ulinzi, Yateta na Korea Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini, Cho Hyun, amesema kuwa majeshi ya Marekani na Korea Kusini yanafanya majadiliano kuhusu uwezekano wa kuhamisha baadhi ya mifumo ya ulinzi wa makombora ya Patriot missile defense system ambayo kwa sasa imewekwa Korea Kusini ili kusaidia operesheni za kijeshi katika vita vinavyoendelea dhidi ya Iran.

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: