Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Meli ya Kijeshi ya Iran Yazama na Watu Zaidi ya 100

Jeshi la Wanamaji na Jeshi la Anga la Sri Lanka limetumwa kufanya operesheni ya dharura ya uokoaji baada ya meli ya kijeshi ya Iran kutuma ishara ya hatari na kuanza kuzama karibu na pwani ya kisiwa hicho katika Bahari ya Hindi.

Kwa mujibu wa mamlaka za Sri Lanka, vikosi vyao vilianza haraka operesheni ya utafutaji na uokoaji baada ya kupokea ishara ya dharura kutoka meli hiyo ya Iran iliyokuwa na zaidi ya watu 180 ndani yake. Takribani mabaharia 30 wameokolewa na kupelekwa hospitali katika mji wa Galle kwa matibabu, huku juhudi za kuendelea kuwatafuta wengine zikiendelea baharini.

 

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: