Shirika la Msalaba Mwekundu limesema limekabidhi miili ya Wapalestina 45 siku moja baada ya miili ya mateka watatu kurejeshwa Israel. Msemaji katika Wizara ya Afya ya Gaza Zaher al-Wahidi, amethibitisha kupokelewa kwa miili hiyo katika hospitali ya Nasser.
Chanzo; Dw