Urusi inaongeza ushirikiano wake barani Afrika kupitia mikataba ya nishati ya nyuklia, biashara, utamaduni na ulinzi, ikisema inalenga kusaidia kujitegemea kiuchumi kama ilivyokuwa mapambano ya uhuru wa miaka ya 1960.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Vershinin, amesema lengo ni kuimarisha viwanda, kilimo, madini na ulinzi ili kupunguza utegemezi wa mataifa ya Magharibi mwelekeo unaovutia nchi nyingi za Afrika zinazotafuta uhuru wa kiuchumi.
Chanzo; Cnn