Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Kenya Wanawake Kupewa Likizo ya Hedhi

"Huu sio upendeleo.
Ni kutambua uhalisia na ukweli unaambatana na wafanyakazi wa kike na ni hali ya kibaolojia’’.
-
Serikali ya Kaunti ya Nairobi nchini Kenya imeidhinisha rasmi utaratibu wa kutoa siku mbili kila mwezi za kupumzika kwa sababu ya hedhi kwa wafanyakazi wanawake, kama sehemu ya mfumo wa rasilimali watu wa kaunti hiyo.
-
Kulingana na waraka wa baraza la mawaziri, sera hii imejengwa kwa msingi wa ushahidi na inalingana na ahadi za kaunti za usawa wa kijinsia, kazi yenye heshima na utawala jumuishi.

Nchi nyingine zilizo na haki za likizo ya hedhi ni pamoja na Zambia, Japan na Korea Kusini-ambapo Sheria ya Viwango vya Kazi inawataka waajiri kutoa siku moja ya likizo ya hedhi kwa mwezi.

 

 

Chanzo; Bbc

Kuhusiana na mada hii: