Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Mazishi ya Ayatollah Yaahirishwa, Israel Yazindua Wimbi Mashambulizi

Kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya serikali ya Iran, Mazishi ya kitaifa ya Kiongozi Mkuu wa kiroho Ayatollah Ali Khamenei, yaliyopangwa kufanyika Machi 4, yameahirishwa.

Mazishi ya siku tatu yalitarajiwa kuanza baadaye leo, huku picha kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha maandalizi yakiendelea.

Wakati huo huo, Israel imetangaza leo Jumatano kwamba imezindua "wimbi kubwa" la mashambulizi mapya dhidi ya Iran, huku vita katika Mashariki ya Kati vikiingia siku yake ya tano.

 

 

Chanzo; Crown Media

Kuhusiana na mada hii: