Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi, ametoa wito wa amani kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame, akimtaka aache kuunga mkono waasi na washirikiane kwa ajili ya amani.
Ametoa wito huo alipohutubia jukwaani baada ya Kagame katika Mkutano wa Global Gateway Forum, ambao ni kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Umoja wa Ulaya katika mji mkuu wa Ubelgiji.
Chanzo; Dw