Rais wa Urusi, Vladmir Putin amelaani vikali mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Khamenei akisema mauaji hayo ni ya kikatili na yamekiuka maadili yote ya Binadamu na sheria za Kimataifa.
Putin amesema hayo leo kupitia salamu zake za rambirambi alizozituma kwa Viongozi wa Iran ikiwa ni saa kadhaa tangu Israel na Marekani zianze kuishambulia Iran kwa makombora.
Chanzo; Millard Ayo