Waziri wa Vita wa Marekani Pete Hegseth katika mkutano na Waandishi wa Habari Pentagon kuhusu shambulio la pamoja la Marekani na Israel dhidi ya Iran, amenukuliwa akisema “Ikiwa utaua Wamarekani, ikiwa utawatisha Wamarekani mahali popote pale duniani, tutakusaka bila msamaha na bila kusita, na tutakuua.”
Ikumbukwe taarifa hii ni sehemu ya ujumbe mpana aliyotoa kuhusu msimamo wa Marekani katika mzozo unaondelea na Iran.
Chanzo; Wasafi Media