Wakenya 86 walioko nchini Myanmar wamekwama kwa zaidi ya miezi miwili wakikaa chumba kimoja, wakiiomba Serikali ya Kenya iingilie kati ili warejeshwe nyumbani.
Wanasema hali wanayoishi ni ngumu na ya kutisha, huku wakiwa hawana uhuru wa kutembea wala msaada wa kutosha.
Wametuma kilio chao kwa serikali wakitaka uokoaji wa haraka, wakihofia usalama na afya zao endapo hali hiyo itaendelea.
Chanzo; Cnn