Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuwa Jeshi lake la Anga limefanya mashambulizi makubwa yaliyolenga eneo la uongozi wa juu wa utawala wa Iran, likisema kuwa operesheni hiyo imelenga “miundombinu muhimu ya kisiasa na kiusalama” katika mji mkuu wa Tehran.
Chanzo; Global Publishers