"Ni kwei timu imepoteza mechi ya nyumbani lakini tunatakiwa kufahamu kama Taifa tuna advantage ya kufuzu moja kwa moja
Ninachoamini Mwalimu anazitumia hizi mechi kutengeneza namna ambavyo anataka timu yake icheze , kwenye mechi hizi kwetu ni tofauti na wengine wanaopambania kufuzu
Tusimpe kocha presha , timu inasukwa taratibu taratibu"