Yanga Sc wamejihakikishia nafasi ya kushiriki hatua ya makundi ya klabu Bingwa Afrika
FT'Yanga Sc 2-0 Silver Strikers
Dickson Job
Pacome Zouzua
Klabu ya Yanga Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi baada ya kupata matokeo ya ushindi wa magoli 2-0 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mechi ya kwanza iliyochezwa Malawi timu ya Wananchi Yanga Sc walipoteza kwa idadi ya goli 1-0 dhidi ya Silver Strikers
Chanzo: Bongo 5