Nyota wa Bayern Munich, Harry Kane, ameweka rekodi mpya baada ya kufunga magoli 20 katika mechi 12 pekee msimu huu katika michuano yote.
kasi hii ya kufikia magoli 20 ni ya kipekee, kwani ni ya haraka zaidi kuliko ile ambayo Lionel Messi au Cristiano Ronaldo wamewahi kuifikia tangu kuanza kwa msimu wowote katika historia ya uchezaji wao kwa ngazi ya klabu .
Harry Kane ameanza msimu huu kwa kiwango cha juu, akiendelea kuwa nguzo muhimu katika safu ya ushambuliaji ya Bayern Munich.
Chanzo: Global Publishers