Wamiliki wa Azam FC, kutoka kulia Yussuf Bakhresa, Omar Bakhresa na Abubakar Bakhresa wakiwa jukwaani wakiangalia mechi ya marudiano Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM ya Zanzibar jioni ya leoy
Azam FC imeshinda 7-0 na kwenda Hatua ya makundi inayoshirikisha timu 16 kwa ushindi wa jumla wa 9-0 kufuatia ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Oktoba 18 Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Chanzo: Mwanaspoti