Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetangaza kuwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) sasa itakuwa ikifanyika kila baada ya miaka minne, badala ya mfumo wa awali wa miaka miwili ambao ulikuwa utaratibu kwa miaka mingi kabla ya mabadiliko mapya kutangazwa.
Chanzo; Bongo 5