Rais wa klabu ya Yanga Sc Eng.Hersi Said amethibitidha usiku wa leo klabu yao itamtambulisha kocha mkuu kutoka Ulaya ambaye ana uwezo na uzoefu mkubwa
“Tumefanya maamuzi sahihi na usiku wa leo yanga itatambulisha kocha bora kutoka Ulaya tutatambulisha kocha mwenye Ubora, Experience Kubwa, kocha atakayetuvusha kwenye mashindano haya kwenda hatua inayofuata”. - Hersi said
“Habari hii Nzuri inakuja kwenu wananchi na Leo tutamtambulisha usiku huu kama Zawadi kwenu kwa kutuunga mkono”. - Hersi said
Chanzo; Bongo 5