''Tunawaheshimu sana Nigeria lakini Hatuwaogopi.
Tunaamini kuwa Mungu atatusaidia kwa uzoefu tulionao na ukubwa wa wachezaji wetu''
Dennis Kibu Mchezaji wa Taifa Stars aliyasema hayo Timu hiyo ya Tanzania ilipofanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya kuchuana dhidi ya Super Eagles ya Nigeria katika mechi yao ya kwanza katika mchuano wa fainali za AFCON 2025 huko Morocco.
Chanzo; Bbc