Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Waamuzi 371 na Tuhuma za Kubeti Uturuki

Rais wa Shirikisho la soka Uturuki (TFF) Ibrahim Ethem Haciosmanoglu ametangaza kuwa baada ya kufanya kwa uchunguzi wa miaka mitano wamebaini kuwa marefa/match official 371 nchini humo wanashiriki michezo ya kubashiri (Betting)

Uchunguzi huo unasema kuwa account za betting 152 kati ya 371 bado zinaendelea kubashiri (active) wengine walibet mara moja tu, huku 42 wakibet zaidi ya mara 1000 mechi za mpira wa miguu na mmoja kati yao akibet mara 18,227.

Sheria za TFF ya Uturuki zinasema mwanafamilia wa mchezo huo akishiriki betting atafungiwa mwaka mmoja, huku sheria za FIFA zikisema atafungiwa miaka mitatu na faini ya Swiss franc 100,000 (Tsh milioni 310).

 

Chanzo: Bongo 5

Kuhusiana na mada hii: