Anthony Joshua amefanikiwa kupata ushindi katika pambano la uzani wa juu dhidi ya Jake Paul kwa K.O kwenye raundi ya 6.
Pambano hilo limechezwa Kaseya, Miami katika jimbo la Florida asubuhi la leo kwa saa za Afrika Mashariki, huku kwa Marekani ikiwa ni usiku.
Chanzo; Crown Media