Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Yanga Yaendeleza Ubabe, Azam Atapatapa

Klabu ya Young Africans SC imeendelea kuonyesha ubora wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida BS katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa leo katika dimba Airtel Stadium, Singida.

Katika mchezo mwingine, Azam FC imelazimishwa sare ya 0-0 na TZ Prisons, baada ya timu hizo kushindwa kupata bao katika dakika 90 za mchezo huo.

Matokeo hayo yanaifanya Yanga kuendelea kujiimarisha katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

 

Chanzo; Global Publishers

Kuhusiana na mada hii: