Meneja wa habari na mawasiliano wa Yanga Ally Kamwe amesema klabu hiyo inaendelea na mchakato wa kumpata kocha mpya wa kikosi hiko na mchakato huo unatarajiwa kukamilika ndani ya siku tatu zijazo
“Mechi ya Jumamosi dhidi ya Silver Strikers utasimamiwa na kaimu kocha mkuu Patrick Mabedi, CV zimetumwa nyingi sana mchakato unaoendelea hivi sasa ni kupata kilicho bora zaidi ” Ally Kamwe
Chanzo: Eatv