Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Msanii mwenye ushawishi Afrika

Diamond kwenye list ya wasanii wenye ushawishi Zaidi barani Afrika

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz Ametajwa kwenye List ya Wasanii wenye Ushawishi Mkubwa zaidi Barani Afika Ndani ya Muongo Mmoja uliopita Akiwa nafasi ya Nne.

Kwa mujibu wa tathmini hiyo, nafasi za wasanii hazikupangwa kwa kuangalia umaarufu pekee, bali zilizingatia mchango wao katika kukuza na kuendeleza tasnia ya muziki barani Afrika, uwezo wao wa kuvuka mipaka ya nchi zao, ushawishi wa kazi zao katika mataifa mbalimbali ya Afrika pamoja na mafanikio yao katika soko la kimataifa.

Kuhusiana na mada hii: