Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Fally Ipupa: Kutoka mfalme wa Rumba hadi shujaa wa Kitaifa

Gwiji wa muziki wa Congo Fally Ipupa ametunukiwa tuzo ya heshima ya juu zaidi ya taifa la DR Congo
Tuzo hiyo inatambua mchango wake mkubwa katika kuiweka Rumba ya Congo kwenye jukwaa la kimataifa, hasa kupitia matamasha yake ya kihistoria katika uwanja maarufu wa Stade de France mwezi Mei 2026.
Sherehe rasmi ya kumvika heshima hiyo itafanyika Kinshasa Juni 6.

Mwanamuziki gani kutoka nchini kwako unadhani anastahili kupewa tuzo ya heshima na serikali?

Kuhusiana na mada hii: