Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Makalla Aahidi Arusha Kuzizima Miaka 30 ya Bongoflava

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla amewakaribisha Wasanii mbalimbali waliowasili Mkoani humo kwa ajili ya Tamasha la Miaka 30 ya BongoFleva huku akisema tamasha hilo litakuwa burudani kwa Wakazi wa Mkoa huo.

Akizungumza baada ya kukutana na Wasanii hao, Makalla amesema Arusha imejiandaa kuwapokea Wasanii pamoja na Mashabiki watakaoshiriki katika tamasha hilo litakalofanyika kesho Septemba 19, 2026, Viwanja vya General Tyre, Arusha.

Kuhusiana na mada hii: