Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Aelezea Moto Ulivyoanza Studio ya Barnaba

Msanii Mulla OBO, ambaye alikuwepo wakati moto ukiteketeza studio za Mwanamuziki Barnaba Classic, amesema hawakufanikiwa kuokoa mali yoyote ndani ya studio hiyo.



Akizungumza na @ayotv_ Mulla OBO ambaye yupo chini ya lebo ya Barnaba, amesimulia namna moto huo ulivyoanza hadi kuiteketeza studio yote.



“Moto ulipoanza nilikuwa na Producer wangu ananirekebishia kitu kwenye simu yangu, nikaona moto ukiwaka kwenye vitambaa vilivyokuwa pembeni, nikamstua ndugu yangu Producer na tulipoona moto umekuwa mkubwa tulitoka nje kupiga kelele kuomba msaada, lakini hatukufanikiwa kuokoa chochote zaidi ya mimi kujitosa kwenda kuchukua simu,” amesema Mulla OBO.

 

Kuhusiana na mada hii: