Msanii wa muziki wa taarabu na mfanyabiashara wa chakula Isha Mashauzi, amesimulia mwanzo mwisho jinsi Mwenye nyumba yake alivomfukuza kwenye eneo lake la kuuzia chakula kitendo kilichopelekea kusitisha biashara yake ya chakula takribani miezi mitano au sita.
Akizungumza na Bongo5 Isha amesema kwenye maisha yake amewahi kupitia mengi ikiwemo kuwa Nesi, kufanya Biashara Kariakoo ya kubeba vitu kichwani.
Chanzo; Bongo 5