Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

WANAWAKE WATUMWA KUREKODI VIONGOZI

Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando ‘Baba Levo’ amesema kuna baadhi ya Wanawake wanatumika kuwarekodi Viongozi wanapokuwa nao katika mazingira ya faragha.

Akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Baba Levo amesema “Kuna Wanawake wanatumwa kwenda kumrekodi Kiongozi hotelini akiwa katika hali ya faragh, inawezekana mtu amefanya makosa yake binafsi, lakini unaenda kwenye simu ya Binti wakati umetoka kuoga unamkuta anakurekodi, utafanyaje, utapeleka simu polisi?”

Kauli hiyo imeibua mjadala bungeni kuhusu maadili, faragha na matumizi ya Teknolojia katika kuwalinda au kuwahatarisha Viongozi na wananchi kwa Ujumla.

 

 

 

 

Kuhusiana na mada hii: