Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipozuru kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Butiama Mkoani Mara akiwa kwenye Kampeni Za uchaguzi Mkuu Mkoani humo leo October 10,2025.
Chanzo: Clouds Media