Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

Heche Aibuka na Serikali ya Mseto

“Kwa kuwa Serikali haina uhalali wowote, CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa”

“Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa”

“Itahakikisha kuachiwa huru kwa Wafungwa wote wa kisiasa na wote waliofunguliwa kesi za uongo, itahakikisha kuachiliwa kwa wote waliotekwa nyara na kufichwa katika mahabusu” Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche.

 

Chanzo; Millard Ayo

Kuhusiana na mada hii: