Miaka 62 baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, mjadala kuhusu mustakabali wake bado haujakoma.
Wapo wanaoamini changamoto ziko kwenye mfumo wa serikali mbili, huku wengine wakisema tatizo si mfumo bali namna umekuwa ukitekelezwa na kusimamiwa.