Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

RUTO AWASILI BUNGENI

Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Ruto, amewasili viwanja vya Bunge Jijini Dodoma na kupokelewa na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu.

Ujio wa Mhe. Ruto, katika Bunge la 13, mkutano wa Tatu, kikao cha Ishirini Mbili, atazungumzia mambo mbalimbali hususani mahusiano kati ya Tanzania na Kenya, ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na faida kibiashara zilizopo kati Tanzania na kenya.

Endelea kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii @cloudsfmtz @cloudstv pamoja na akaunti yetu ya Youtube “Clouds Media”.

Kuhusiana na mada hii: