Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa kikundi kilichokuwa kinamtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Maguli wakati anapambania uhai wake ndio hao hao wanaomtukana Mgombea wa Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan
Makonda ameyasema hayo Leo Oct 8,2025 Katika uwanja wa Nyamagana Mkoani Mwanza kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya Dkt Samia Suluhu Hassan
Aidha Makonda amewaomba Watanzania kumlinda Dkt. Samia dhidi ya kikundi hicho ambacho kinamtukana Mgombea huyo.
Chanzo: Wasafi