Search

Saved articles

You have not yet added any article to your bookmarks!

Browse articles

GDPR Compliance

We use cookies to ensure you get the best experience on our website. By continuing to use our site, you accept our use of cookies, Privacy Policy, and Terms of Service.

40% ya Watu Duniani Wanaunganishwa na Meta

Zaidi ya 40% ya idadi ya watu duniani huunganishwa kupitia mfumo ikolojia wa Meta (facebook, Instagram na Whatsapp) kila siku .⁠

Mafanikio hayo yamefikiwa mwishoni mwa mwezi baada ya ukuaji wa kasi katika programu zote tatu.

Ripoti ya Meta ya Q3 imeorodhesha jumla ya watumiaji Bilioni 3.48 wakitumia mtandao huo kila siku.

 

Chanzo; Bongo 5

Kuhusiana na mada hii: