Mgahawa mmoja huko Dubai ulihudumia meza iliyotumia AED 87,999 sawa na Milioni 59.7 za Kitanzania kwa chakula na vinywaji na wakaongeza bakshishi (tip) kubwa ya AED 12,000 sana wa Milioni 8 na kufanya jumla kufikia karibu AED 100,000.
Ankara hiyo ilisambaa sana mtandaoni baada ya kundi hilo kubadili malipo kuwa tukio la kufurahisha lenye hatari kubwa, wakichagua kadi moja kwa bahati nasibu ili ilipe gharama yote Dubai tu
Chanzo; Bongo 5